http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Kairuki naye atangaza safari yake ya Dodoma

Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora imehamia Makao Makuu ya nchi Jijini Dodoma ikiwa ni siku chache baada ya agi...


Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora imehamia Makao Makuu ya nchi Jijini Dodoma ikiwa ni siku chache baada ya agizo lililotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu la kuzikumbushia wizara zote kuhamia mkoani humo ifikapo Februari 28.




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki akizungumza na watumishi wa ofisi yake juu ya safari ya kuhamia Dodoma iliyoanza rasmi leo kwa kuhamisha vifaa vya ofis

Akizindua safari ya kwanza ya Wizara hiyo, hii leo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki amesema, kundi la kwanza jumla ya watumishi 87 watahamia Dodoma na litahusisha uongozi wa Juu wa Wizara ukiwajumuisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu na Baadhi ya Wakurugenzi, Wakurugenzi Wasaidizi, Maafisa Waandamizi na Watumishi wengine.

"Leo napenda kutumia fursa hii kuuarifu umma wa watanzania kuwa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imekamilisha maandalizi ya kuhamia Dodoma na hivi punde (Leo) vifaa vya kundi la kwanza vitaondoka kwenda Dodoma”, Amesema Mhe. Kairuki.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Dkt. Laurean Ndumbaro wakiuaga msafara wa magari yaliyobeba vifaa vya ofisi vya kundi la kwanza la watumishi wa ofisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam wakielekea Dodoma kwenye makao makuu ya nchi Aidha, amesema kwa mahitaji na ofisi hiyo ikiwa pamoja na kukutana na waziri kuhusu masuala sera na sheria za utumishi wa umma na utawala wa utumishi wa umma yatatekelezwa katika ofisi za Dodoma zilizopo katika jengo la College of Hummanities and Social Sciences ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma mkoani humo

Credity......................eatv

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kairuki naye atangaza safari yake ya Dodoma
Kairuki naye atangaza safari yake ya Dodoma
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/01/23/Kairuki%20Dom%201.jpg?itok=PlTk6PKM×tamp=1485175222
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/kairuki-naye-atangaza-safari-yake-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/kairuki-naye-atangaza-safari-yake-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy