Beyoncé amechukua siku chache kupumzisha sauti yake ili kuendelea na ziara yake ya “Formation.” Queen Bey amefuta show ya Sept. 7 kwenye uw...
Beyoncé amechukua siku chache kupumzisha sauti yake ili kuendelea na ziara yake ya “Formation.”
Queen Bey amefuta show ya Sept. 7 kwenye uwanja wa mpira wa MetLife mjini New Jersey mpaka Oct. 7 baada ya daktari kumuambia apumzishe sauti yake kwanza ili kuendelea na ziara hii.
Ziara ya “Formation” inapambwa na nyimbo kali kutoka kwenye album yake yaLEMONADE,