Aliyekuwa mume wa Mariah Carey, rapa, mwigizaji na mtangazaji Nick Cannon ameripotiwa kuwa kwenye mahusiano ya SERIOUS zaidi na mwana da...
Aliyekuwa mume wa Mariah Carey, rapa, mwigizaji na mtangazaji Nick Cannon ameripotiwa kuwa kwenye mahusiano ya SERIOUS zaidi na mwana dada wa kundi la muziki la TLC Rozonda “Chilli” Thomas .
Nick na Chilli wamekuwa pamoja kwa zaidi ya miezi miwili na Nick ameonekana kuwa makini zaidi kwenye mahusiano haya kuliko mahusiano yoyote yale toka ametengana na Mariah Carey,
Rozonda “Chilli” Thomas
Ex wa Nick ‘Mariah Carey’ kwa sasa ni mchumba wa billionaire James Packer .