http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Alikiba Na Diamond Waendelea Kuchuana Vikali YOUTUBE


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Wimbo mpya wa Alikiba ‘Seduce Me’ ulioachiwa Ijumaa hii unaendelea kutrend kupitia mtandao wa video wa YouTube huku nafasi ya pili ukifuat...

TAZAMA HAPA 'BEHIND THE SCENE' YA FILAMU MPYA YA SIKULIJUA MWANZO...!!!!!
'Dume Suruali' ya Mwana FA na ‘Muziki’ ya Darassa Zachuana Vikali Youtube
Miss World Diana Edward aingia fainali za Beauty With A Purpose

Wimbo mpya wa Alikiba ‘Seduce Me’ ulioachiwa Ijumaa hii unaendelea kutrend kupitia mtandao wa video wa YouTube huku nafasi ya pili ukifuatiwa na wimbo mpya wa WCB, Zilipendwa.

Video ya muimbaji huyo wa RockStar400 mpaka sasa ina views 540,320 ikiwa ni video ya kwanza kuachiwa kabla ya WCB iliyoachiwa jioni yake.

Video ya WCB ‘Zilipendwa’ mpaka sasa ina views 222,962 ikiwa ina saa 12 toka iachiwe kupitia YouTube.

Kitendo cha WCB kuachia video ya wimbo huo muda mchache baada ya Alikiba kuachia Seduce Me, kumewafanya mashabiki wa wasanii hao kushindanisha project hizo mbili ambazo bado zinashindana kupitia mtandao wa YouTube.

Wawili hao kila mmoja anaonyesha bado ana hasira na mwenzake kwani kila mmoja anamtishia mwenzake ataachia ngoma nyingine.

Alikiba anadaiwa kutweet kwamba wimbo ‘Secude Me’ alikuwa anatesh mitando huku akidai ngoma kamili inakuja.

Kwa upande wa Diamond naye kupitia meneja wake Sallam amedai kwamba baada ya ‘Zilipendwa’ wataachia wimbo mpya ambao Diamond ameshirikiana na msanii mkubwa wa kimataifa.

==>Itazame ZILIPENDWA ya Diamond

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Alikiba Na Diamond Waendelea Kuchuana Vikali YOUTUBE
Alikiba Na Diamond Waendelea Kuchuana Vikali YOUTUBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsW35NuNxat5WHUoVnxRT9FYmOAPjZ33-lJbZbwLkM6HpdWKRH1hF4wtWVNCBvB1rxKqhb1uFS8tk1x7SLLNNu0hZUBSQqgR6ohMEzUZKgM4AuPRx3F_IzzkjGIZ_GssOXoxqa7bKAL91b/s1600/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhsW35NuNxat5WHUoVnxRT9FYmOAPjZ33-lJbZbwLkM6HpdWKRH1hF4wtWVNCBvB1rxKqhb1uFS8tk1x7SLLNNu0hZUBSQqgR6ohMEzUZKgM4AuPRx3F_IzzkjGIZ_GssOXoxqa7bKAL91b/s72-c/1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/alikiba-na-diamond-waendelea-kuchuana.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/alikiba-na-diamond-waendelea-kuchuana.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy