Rnb staa kutoka Uingereza Rita Ora ameng’arisha jarida la Cosmopolitan UK na kuzungumzia mahusiano yake kwa sasa na rapa Jay Z na mke...
Rnb staa kutoka Uingereza Rita Ora ameng’arisha jarida la Cosmopolitan UK na kuzungumzia mahusiano yake kwa sasa na rapa Jay Z na mke wake Beyoncé.
Rita Ora amesema hata tatizo na Jay Z na Beyonce hata baada ya kutofautiana nao kupitia lebo ya Jay Z ya Roc Nation na kuitwa “Becky” mwanamke aliyekuwa na mahusiano na Jay Z
Rita anasema “Nimefurahia kuwa na wakati wakujifunza kama ule, Jay Z ni mtu nae mwangalia sana na Beyonce nikama malkia kwangu, nashukuru sana kwa muda niliokuwa nao”