Rapa 2 Chainz amepata shavu kubwa sana kwenye maisha ya muziki wake baada ya kupata YES kutoka kwa Drake kuhusu mpango wa kurekodi Mixt...
Rapa 2 Chainz amepata shavu kubwa sana kwenye maisha ya muziki wake baada ya kupata YES kutoka kwa Drake kuhusu mpango wa kurekodi Mixtape pamoja.
Mixtape hii imepewa jina Daniel Son; Necklace Don, na nyimbo za kwanza zinaanza kutoka Ijumaa hii.
2 Chainz anasubiria jibu kutoka kampuni ya Apple,ili kutoa nyimbo hizo.
2 Chainz amekutana na Drake kupitia nyimbo kama “No Lie,” “Fu**in’ Problems,” na “All Me.”
Hii sio mara ya kwanza 2 Chainz kupata collabo na msanii mkubwa, March 2016 Chainz alitoa album ya ColleGrove, akiwa na rapa Lil Wayne.