SHARE TWEET SHARE SHARE 0 COMMENTS Bongo fleva super staa Rich Mavoko ametia wino kwenye mkataba wa lebel wa WC...
Bongo fleva super staa Rich Mavoko ametia wino kwenye mkataba wa lebel wa WCB Wasafi ya Diamond Platnumz Leo June 2 2016.
Rich atakuwa msanii wa wasafi na atatoa nyimbo zake chini ya lebel hio. Diamond alitupa habari hii nzuri kwa kuandika “Wolcome to the Family @richmavokoLet’s take Bongo fleva to the world!”