http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Snura Mushi Msemaji wa Msanii Snura Baraka Nyagenda. akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salamm leo. Msanii Snura...

Hii video mpya ya Rich Mavoko akiwa chini ya WCB ‘Ibaki Story’ Itazame hapa
Itazame video ya Tammy The Baddest Ft District 9ine ‘Trumpets’ Enjoy.
Picha,mastaa hawajifunzi, baada ya Shilole mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda naye kachora tattoo ya Nuh.

Snura Mushi

Msemaji wa Msanii Snura Baraka Nyagenda. akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salamm leo.

Msanii Snura Mushi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu kupigwa kwa wimbo wa chura ya kuufunga kwa kuwa haukuwa na maudhui mazuri ya kitanzania. Kushoto ni Msemaji wake, Baraka Nyagenda.

Mkutano na wanahabari ukiendelea.
………………………………………….


N a Dotto Mwaibale

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu kupigwa kwa wimbo wa chura wa msanii Snura Mushi baada ya kuufunga kwa kuwa haukuwa na maudhui mazuri ya kitanzania.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, Snura Mushi alisema wimbo wake na video umeruhusiwa kupigwa baada ya audio ya chura kufanyiwa marekebisho na kuifanya kuwa katika maudhui ya kitanzania.

Alisema ruhusa hiyo imetolewa kwa barua iliyoaandikiwa Septemba 26, 2016 yenye kumbukumbu HA.26/375/01’B’/137 ambayo gazeti hili lina nakala yake.

Kupitia mkutano huo msanii Snura Mushi kwa mara nyingine aliomba radhi kwa watanzania na Serikali kwa ujumla kwa usumbufu walioupata kwa video yake ya kwanza na kuwaomba waendelee kuiona video mpya iliyorekebishwa baada ya kuifuta ya kwanza.

(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA
SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqsjFM82uIVOQLmzd1kiGEGDcLxg2lFmgCQntKE5aKJvBpm0815qB_6W3ftF058H0_YhyphenhyphenjsiUykK1iEhTqZPiPCz9e9FekaLg7eSkel9gP6XzE7WEqIg_eg-E-C8kPXagpgDAbe1HtdU-Y/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqsjFM82uIVOQLmzd1kiGEGDcLxg2lFmgCQntKE5aKJvBpm0815qB_6W3ftF058H0_YhyphenhyphenjsiUykK1iEhTqZPiPCz9e9FekaLg7eSkel9gP6XzE7WEqIg_eg-E-C8kPXagpgDAbe1HtdU-Y/s72-c/1.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/serikali-yaruhusu-wimbo-wa-chura-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/serikali-yaruhusu-wimbo-wa-chura-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy