http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

DIAMOND PLATINUMZ NA NAIBU WAZIRI MAPYA TENA,WASANII WAPIGA HODI KWA MWAKYEMBE


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Wakati sakata la mwanamuziki Diamond Platinumz kumlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kutowatende...

JAY-Z athibitisha mamake ni mpenzi wa jinsia moja
TID, Quick Rocka na OMG wamalizana
Umesikia alichokisema Wema Sepetu kuhusu shepu yake?
Wakati sakata la mwanamuziki Diamond Platinumz kumlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kutowatendea haki wasanii likiendelea kuwa mjadala mitandaoni, Chama wa Wasanii wa Bongofleva (Tuma) kitakutana na waziri wa wizara hiyo, Dk Harrison Mwakyembe wiki hii.
Akizungumza na MCL Digital leo Jumatatu Machi 26, 2018, katibu wa chama hicho, Samuel Andrew maarufu Braton amesema sakata la Diamond na naibu waziri huyo ndio sababu kuu ya kuomba kuonana na Dk Mwakyembe. Machi 19, 2018 Diamond wakati akihojiwa na Kituo cha Redio Times cha jijini Dar es Salaam, alilaumu hatua ya Serikali kuzifungia nyimbo 15 mwezi uliopita, zikiwamo mbili za kwake.
Diamond hakuishia katika mahojiano hayo yaliyoongozwa na mtangazaji Omary Tambwe, Machi 20, 2018 kupitia mtandao wa Twitter alimjibu naibu waziri huyo akisema ametumia njia hizo kumjibu kwa kuwa naye alitumia hizo hizo. Katika maelezo yake Braton amebainisha kwamba awali walipanga kuonana na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kikao ambacho ilikuwa kifanyike leo.
Hata hivyo, amesema baada ya kushauriana na wenzake waliona ni vema kikao hicho akawepo na Dk Mwakyembe kwa maelezo kuwa hata Basata watapeleka taarifa za mazungumzo yao wizarani. “Unapoongelea waziri ndio mtu wa mwisho kuongea na kutolea uamuzi wa tutakachozungumza, hivyo tukienda Basata ni kama tunazunguka tu wakati kitu tunachohitaji sasa ni utekelezaji na si taarifa,”amesema.
Alipoulizwa kama Shonza atakuwepo kwenye mkutano huo, Braton amesema hana uhakika japo vikao vingi vya wasanii huwa anakuwepo na hata hicho wangependa awepo pia.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : DIAMOND PLATINUMZ NA NAIBU WAZIRI MAPYA TENA,WASANII WAPIGA HODI KWA MWAKYEMBE
DIAMOND PLATINUMZ NA NAIBU WAZIRI MAPYA TENA,WASANII WAPIGA HODI KWA MWAKYEMBE
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/diamond-na-shonza.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/diamond-platinumz-na-naibu-waziri-mapya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/diamond-platinumz-na-naibu-waziri-mapya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy