http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

JAY-Z athibitisha mamake ni mpenzi wa jinsia moja


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanamuziki wa mtindo wa Rap JAY-Z Msanii wa muziki wa Rap JAY-Z ameonekana kuthibitisha kuwa mamake ni mpenzi wa jinsia moja Kulingana...

Hamisa Mobetto Awajia Juu Watu Wanaombeza Kisa Amezaa na Wanaume Wenye Hela
EXCLUSIVE: ALIKIBA ANAACHIA WIMBO MPYA LIVE WIMBO UTAZAME HAPA
Harmonize Afungukia Kuvunjika Kwa Mahusiano Ya Zari na Diamond
Mwanamuziki wa mtindo wa Rap JAY-Z


Msanii wa muziki wa Rap JAY-Z ameonekana kuthibitisha kuwa mamake ni mpenzi wa jinsia moja

Kulingana na maneno ya wimbo wa albamu yake 4:44, msanii huyo alisema:Mama alikuwa na watoto wanne lakini ni mpenzi wa jinsia moja licha ya kujifanya kuwa muigizaji.
Haijalishi kwangu iwapo ni mume ama mke nataka kukuona ukifurahi baada ya chuki zote.


Mapema katika kipindi chake chote cha kazi ya muziki JAY-Z aliandika nyimbo zilizokuwa na maneno ya watu wa mapenzi ya jinsia moja lakini akawacha kurekodi nyimbo zenye maneno hayo
Maneno hayo ya muziki yapo katika wimbo unaoitwa Smile ambao pia unashirikisha picha ya mamake Gloria Carter akisoma shairi.

JAY-Z na mkewe Beyonce

Ni nani ambaye JAY- Z hakumshukuru baada ya kupata tuzo yake ya hivi karibuni?
Kutokana na uwepo wake katika wimbo huo ,inaonekana kwamba alijua kuhusu mpango wa mwanawe kuzungumzia kuhusu jinsia yake.
''Dunia inabadilika na wanasema ni wakati wa kuwa huru/lakini unaishi na hofu ya kuwa wewe mwenyewe'', alisema mamake.


''Kuishi katika kivuli kunaonekana kuwa eneo salama kuwa, hakuna mtu wa kukushambulia /lakini maisha ni mafupi na ni wakati wa kuwa huru''.

Credity.....matukio daima

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : JAY-Z athibitisha mamake ni mpenzi wa jinsia moja
JAY-Z athibitisha mamake ni mpenzi wa jinsia moja
https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/181A1/production/_96812789_jayzgetty.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/jay-z-athibitisha-mamake-ni-mpenzi-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/jay-z-athibitisha-mamake-ni-mpenzi-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy