Muimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili nchini Tanzania mwanadada Angel Bernard anayefanya vizuri na wimbo wa 'SITEKETEI' na ...
Kama wewe ni mfatiliaji wa nyimbo za injili itakuwa unakumbuka tarehe november 21 2017 ndio siku aliotoa wimbo wake wa 'JANA LEO' ambao unafanya vizuri nje na ndani ya nchi ila leo kupitia ukusa wake wa Instagram ameahidi kutoa kigongo kingine hivi punde.
Angel Bernad amewasihi mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwa kupokea wimbo huoa huku akisisitiza upo tayari.
"Wimbo mpya “utukumbuke” unakuja sooon sana tafadhali nakuomba subscribe kwenye channel yangu ya YouTube ili uwe Mmoja wa watu wa kwanza kutazama." ameandika Angel.