Msanii toka kundi la WCB, Rajabu maarufu kama Harmonize amekuja na ngoma mpya aliyomshirikisha msanii toka Nigeria anayeitwa Korede Bello...
Msanii toka kundi la WCB, Rajabu maarufu kama Harmonize amekuja na ngoma mpya aliyomshirikisha msanii toka Nigeria anayeitwa Korede Bello anayefanya vizuri barani Afrika.
Koredo Bello alitambulika zaidi baada ya kufanya ngoma iliyojulikana kwa jina la Godwin, pia amewahi kufanya kibao cha Romantic alichomshirikisha mwanadada Tiwa Savage, hivi karibuni aliaachia wimbo wake unaoitwa do like that.
Tangu kuachiwa kwa ngoma ya shulala, katika mtandao wa YouTube ndio ngoma inayofanya vizuri na kushika namba moja kwa upande wa Tanzania huku ikiwa imekwisha tizamwa na watu 223,528.