Siku ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond Platnumz , Kifesi alipost picha ya ...
Baada ya Zari kukomenti hivyo mashabiki wakahusisha hilo na swala ambalo Diamond anadaiwa ya kuwa yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 anayetokea Namibia, Dilish Methew huku ikisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi kitu kilichomfanya Zari akomenti vile kwenye picha ya kifesi aliyompost Diamond.
Bonyeza PLAY hapa chini kusikia taarifa Kamili