Meneja wa wasanii a bongo fleva maarufu Tanzania kama Petit Money na mama mtoto wake ambaye ni dada wa Damu wa Diamond Platnumz wamerud...
Meneja wa wasanii a bongo fleva maarufu Tanzania kama Petit Money na mama mtoto wake ambaye ni dada wa Damu wa Diamond Platnumz wamerudiana na kuweka wazi kuwa wameziba viraka na kuzima simu mbovu.
Kwenye show yao iliyofanyika Club Bilicanas Dar es salaam, Petit alipanda jukwaani na kusema “Tunaziba viraka, kama unajua ulikuwa unachepuka na mimi basi ujume mama karudi” Petit Money na Esma wana mtoto mmoja pamoja ‘Taraj’.