http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mr Touch na Nay Wa Mitego wazungumzia ugomvi wao, sababu ni nini haswa.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Producer mkali kwa sasa kwenye bongo fleva aliyetengeneza rekodi kali za Nay Wa Mitego Mr T Touch ameongelea sababu za kugombana na Nay ...

Video: Msanii ‘Mimi Mars’ kutoka label ya Vanessa Mdee azindua video ya wimbo wake mpya ‘Sugar’
New Music: TID f/ Fid Q – Maisha ya Jela
Sony Music wampa tuzo Alikiba kwa views milioni 5 za video ya Aje
Producer mkali kwa sasa kwenye bongo fleva aliyetengeneza rekodi kali za Nay Wa Mitego Mr T Touch ameongelea sababu za kugombana na Nay Wa Mitego huku akificha kuwa Nay Wa Mitego kokusa kwenye show yake aliyoanda sio sababu ya ugomvi wao.
Mr T anasema “Hii ni sababu nzito sana siwezi kuongea ila ni mambo yangu ya moyoni usinichimbe
Nay wa Mitego pia amekiri kuwa Mr T Touch alianda show kweli na kwamba yeye hakwenda kwenye show hio. Nay anasema “Sipendi kuongea uwongo, Naongea ukweli kwamba Mr T alianda show na nikashindwa kufika ili niliomba msamaha na nikarekebisha mambo aliyoyataka, niliapologize ila kwenye maisha kuna vitu vidogo ambavyi tunatofautiana kwenye maisha“.
Nay Pia anasema “Mimi na Mr T kugombana sababu nimeshindwa kwenda kwenye show sio sawa , it doesnt make sense, kwa muda wote niliokaa na Mr T mpaka tukatengeneza Free Nation ,show haiwezi kutugombanisha

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mr Touch na Nay Wa Mitego wazungumzia ugomvi wao, sababu ni nini haswa.
Mr Touch na Nay Wa Mitego wazungumzia ugomvi wao, sababu ni nini haswa.
http://i1.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/Nay-true-boy.jpg?resize=634%2C400
https://i.ytimg.com/vi/xqOVcLTORHA/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/mr-touch-na-nay-wa-mitego-wazungumzia.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/mr-touch-na-nay-wa-mitego-wazungumzia.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy