http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

New Music: TID f/ Fid Q – Maisha ya Jela


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Hii ni kazi mpya ya TID akimshirikisha Fid Q iliyorekodiwa TID mwaka 2007. Wimbo huo ulirekodiwa mwaka 2007, siku tatu tu baada ya muim...

MSANII CHID BENZ AKAMATWA TENA NA DAWA ZA KULEVYA
Fid Q Ampinga Waziri Mwakyembe
Roma Mkatoliki avunja rekodi


Hii ni kazi mpya ya TID akimshirikisha Fid Q iliyorekodiwa TID mwaka 2007.


Wimbo huo ulirekodiwa mwaka 2007, siku tatu tu baada ya muimbaji huyo kutoka jela. Kutoka jela kwa muimbaji huyo kulitokana msamaha wa Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete siku ya Uhuru.

Maisha ya Jela unazungumzia msoto ambao muimbaji huyo aliupata baada ya kufungwa jela. “TID ameelezea maumivu, maumivu ya moyo, kuchanganyikiwa, na bila kusahau mateso ya kiakili aliyoyapata akiwa jela kutokana na adhabu kali alizozipata baada ya hukumu hiyo,” yanasema maelezo.

Fid Q alikuwa mtu wa karibu na TID wakati wa kifungo na baada ya kutoka na alimwelezea namna wananchi walivyochukulia kufungwa kwake hivyo alikuwa mtu sahihi kushirikishwa kwenye wimbo huo ambao ulikuwa wazo na CEO wa Tongwe Records, J-Murder.

Hata hivyo licha ya wimbo huo kumalizika, haukuweza kutoka kipindi hicho kwasababu walitaka kwanza TID awe kwenye hali ya kawaida baada ya kutoka kifungoni.

Hivi karibuni TID alikiri kuwa mmoja wa waathiriwa wa matumizi ya dawa za kulevya.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : New Music: TID f/ Fid Q – Maisha ya Jela
New Music: TID f/ Fid Q – Maisha ya Jela
https://i.ytimg.com/vi/XesMl_5fNUI/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/XesMl_5fNUI/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/video-new-music-tid-f-fid-q-maisha-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/video-new-music-tid-f-fid-q-maisha-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy