http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Stamina ahoji kuhusu kibamia


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapa Stamina ambaye kwa pamoja na Roma Mkatoliki anaunda kundi la ROSTAM amefunguka kuonyesha kushangazwa na maamuzi yaliyofanywa na Na...

Dkt Shein Afanya mabadiliko madogo katika baraza.
Umaarufu wamkatili mpenzi wa Dogo Janja
Video: Diamond akionesha vifaa vya gharama vya Wasafi radio na Wasafi TV
Rapa Stamina ambaye kwa pamoja na Roma Mkatoliki anaunda kundi la ROSTAM amefunguka kuonyesha kushangazwa na maamuzi yaliyofanywa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza kumfungia Roma Mkatoliki.
Stamina amefunguka hayo baada ya kusikia Roma Mkatoliki amefungiwa kujihusisha na sanaa kisa kutofanya marekebisho ya wimbo wao wa Kibamia na kusema kuwa awali walipoongea na Waziri huyo aliwapa miezi sita ya kufanya marekebisho ya wimbo huo sasa iweje amechukua maamuzi ili hali hata muda ambao walipewa haujakwisha.
"Kibamia ilitoka Novemba 22, 2017 na BASATA Roma Mkatoliki tuliitwa Disemba 6, 2017 na Mhe. Waziri akasema wametupa miezi sita na leo ndio kwanza Machi 1, 2018 mbona miezi sita bado au miezi sita ya Tanzania iko tofauti na kalenda ya dunia nzima? Mna tatizo gani na wasanii wetu BASATA na Wizara? Mnakuza au mnauwa sanaa? alihoji Stamina
Stamina na Roma Mkatoliki kwa pamoja wanaunda kundi la ROSTAM ambao ndio wamiliki wa wimbo huo wa Kibamia lakini matokeo yake Roma Mkatoliki amechukuliwa adhabu peke yake kwa wimbo wa kundi hilo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Stamina ahoji kuhusu kibamia
Stamina ahoji kuhusu kibamia
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/01/Stamina.jpg?itok=AiLkMZ_i×tamp=1519923637
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/stamina-ahoji-kuhusu-kibamia.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/stamina-ahoji-kuhusu-kibamia.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy