Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini, Diamond Platinumz ambaye anafanya vizuri katika sanaa ya muziki, anaendelea kuonesha umahiri kat...
Msanii
wa muziki wa bongo fleva nchini, Diamond Platinumz ambaye anafanya
vizuri katika sanaa ya muziki, anaendelea kuonesha umahiri katika kazi
yake kwa kuendelea kukuza na kutanua soko la ajira Tanzania kwa ujasilia
mali.
Hivi karibuni ametambulisha ujio wa kituo chake cha radio, Wasafi Fm, na kituo cha TV cha Wasafi TV.
Harakati hizo zipo mbioni kukamilika mara baada ya kutumia ukurasa wake wa instagram kuonesha mitambo mbalimbali ambayo tayari imefungwa kuruhusu chaneli hizo kuanza rasmi kurusha vipindi vyake.
==>Tazama kila kitu hapo chini