http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Jux asema kuwa anafanya muziki kwenye mazingira magumu,sababu zake hizi hapa.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii mahiri wa R&B nchini anayetamba na wimbo wake wa wivu,Jux amesema kuwa yeye ni moja ya wasanii wanaofanya kazi ya muziki kati...

Kundi la The Lox lasajiliwa na lebo ya Jay Z.
Nisha Baby akanusha kuwa na mahusiano na hawa wasanii wanne wakubwa….
MPAMBANO WA LEYLA RASHID NA ISHA MASHAUZI JUMAMOSI HII
Msanii mahiri wa R&B nchini anayetamba na wimbo wake wa wivu,Jux amesema kuwa yeye ni moja ya wasanii wanaofanya kazi ya muziki katika mazingira magumu.
Akiongea kwenye moja ya mahojiano yake na Planet Bongo Jux amesema kuwa ukiacha muziki yeye pia ni mwanafunzi na mfanyabiashara kitu na kuongeza kuwa sio rahisi kama watu wanavyodhani kuviweka vitu hivyo kwenye uwiano
Naweza kusema mimi ni moja ya wasanii wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu ,nasoma,nafanya biashara na muziki lakini bado nakaza,najitahidi sana ku maintain.Kuna wasanii wengi wakitoka nje ya nchi ndio wanapotea kabisa lakini mimi ni msanii ambaye sometimes watu hawajuagi kama nimeondoka au nipo kutoakna na team yangu wanafanya kazi kubwa” alieleza Jux ambaye pia ni mwanafunzi wa computer science huko China.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Jux asema kuwa anafanya muziki kwenye mazingira magumu,sababu zake hizi hapa.
Jux asema kuwa anafanya muziki kwenye mazingira magumu,sababu zake hizi hapa.
http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/jux.png?resize=609%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/jux-asema-kuwa-anafanya-muziki-kwenye.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/jux-asema-kuwa-anafanya-muziki-kwenye.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy