http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Ice Cube ajibu tuhuma za filamu ya Straight Outta Compton kusababisha kifo cha meneja wa NWA Jerry Heller.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapa na mwigizaji Ice Cube amejibu tuhuma za kifo cha meneja wa zamani wa kundi lao la NWA Jerry Heller ’75’ kuwa kimesababishwa na alivyoig...

Hatimaye Alikiba aanzisha kinywaji chake,kuingia sokoni hivi karibuni
Zari Amlipua Diamond.....“Utakoma tu mwenzangu”
Aslay, Nandy kuburuzwa mahakamani



Rapa na mwigizaji Ice Cube amejibu tuhuma za kifo cha meneja wa zamani wa kundi lao la NWA Jerry Heller ’75’ kuwa kimesababishwa na alivyoigizwa kwenye filamu yaStraight Outta Compton.

Jerry alifariki September 2 na mwanasheria wake anasema msongo wa mawazo baada ya filamu hio kutoka ulisababisha Jerry kupata matatizo zaidi ya gonjwa la moyo na kufariki kwenye ajali ya Gari huko Thousand Oaks, California.

Jerry alikuwa meneja wa NWA na msanii Eazy-E, Heller alianzisha Ruthless Records mwaka 1987 huko Compton, California, kundi la NWA lilisambaratika 1991, huku Ice Cube, Dr Dre walisema sababu ilikuwa usimamiaji mbovu wa pesa za kundi uliofanywa na meneja Heller.

Ice Cube ameongelea kifo cha meneja huyo nakusema “Taarifa hizi nimezipata nikiwa mtaani na MC Ren na DJ Yella tumetoka mbali wote na meneja Jerry Heller, kifo chake ni sehemu ya maisha, tumezaliwa ili tupite tu na wote tunajua sehemu kubwa ya maisha yetu tuliyokuwa na Heller”

Kabla ya kifo chake Heller alifungua kesi dhidi ya mastaa hawa na watayarishaji wa filamu ya Straight Outta Compton akidai dola milioni $110m kwa kuchafuliwa jina na filamu hio.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ice Cube ajibu tuhuma za filamu ya Straight Outta Compton kusababisha kifo cha meneja wa NWA Jerry Heller.
Ice Cube ajibu tuhuma za filamu ya Straight Outta Compton kusababisha kifo cha meneja wa NWA Jerry Heller.
http://i2.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/09/ice-cube.jpg?resize=660%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/ice-cube-ajibu-tuhuma-za-filamu-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/ice-cube-ajibu-tuhuma-za-filamu-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy