Msani mkubwa wa nyimbo za Hip Hop Nchini katika ukurasa wake wa instagram jana ikiwa ni siku ya mama duniani yeye aliandika ujumbe wakuw...
Msani mkubwa wa nyimbo za Hip Hop Nchini katika ukurasa wake wa instagram jana ikiwa ni siku ya mama duniani yeye aliandika ujumbe wakuwaona wanawake ni watu wadhaifu na wasioweza kuongoza katika jamii.
"mwanamke hawezi kuwa kichwa cha familia, ni udhaifu kumskiliza mwanamke, mwanamke ni mdhaifu, hafai kuwa kiongozi, hata watoto wetu wa kiume tuna wakuza kuja kuwa matajiri, wafanya biashara, ma hero.... lakini wakike tuna wakuza kuja kuwa wana wake, walezi, yani mwanamke ni mali ya mwanume na mwisho wake ni kuolewa na kuzaa....
Lakini mwisho wa mtoto wa kiume ni utajiri, biashara, uongozi nakadhalika.......... leo tutawaombea mama zetu kupitia kitabu ambacho kilikuwa hakiwahesabu wanawake kana kwamba hawana maana (Bible)...... kabla ya kumsifia mama tambua wewe mwanaume.... ni mfumo hatari kwa mama kama mwanamke"