DJ Khaled na Nas wamemtoa machozi msanii mkongwe wa muziki Marekani Lauryn Hill baada ya kurusia wimbo wa kundi lao la Fugees uliofahami...
Lauryn amechukulia hatua hio kama heshima kubwa kwake na kundi lao la Fugees kwa wimbo wao ambao ni Classic wa “Fu-Gee-La” kurudiwa kwenye album mpya ya Dj Khaled Major Key. Lauryn aliandika hivi
“DJ Khaled, thank you for that acknowledgement, and thank you and Nas for blessing up the chune lol,” she wrote. “‘Fu-Gee-La’ was a special song for us. I have fond memories of us and Salaam [Remi] recording that song. My son, Zion, ironically laid his own thoughts down in a verse on this same song recently. There must be something in the air,May God bless your family and the arrival of your new child,” she added. “I also remember that Humble Lion show! Grace and peace to both of you.”