http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kala Jeremiah adai radio nyingi zinabania kupiga nyimbo zenye ujumbe ndio maana wasanii wanaimba bata zaidi.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa Hip hop Tanzania Kala Jeremiah amedai kuwa vyombo vya habari vimechangia kwa kiasi kikubwa wasanii wa bongo fleva kuacha kuimb...

RAYVANNY AFICHUA UBABE WA DIAMOND PLATINUMZ NDANI YA WCB WASAFI
DIAMOND PLATINUMZ NA NAIBU WAZIRI MAPYA TENA,WASANII WAPIGA HODI KWA MWAKYEMBE
ALI KIBA NA MADAI YA KUTELEKEZA MTOTO, FAMILIA YATAKA DNA
Msanii wa Hip hop Tanzania Kala Jeremiah amedai kuwa vyombo vya habari vimechangia kwa kiasi kikubwa wasanii wa bongo fleva kuacha kuimba nyimbo zenye ujumbe kama ilivyokuwa zamani.
Akiongea kwenye kipindi cha Funiko Base cha radio 5 Kala amedai kuwa radio nyingi zinaendeshwa kibiashara zaidi kuliko kuangalia maisha kitu ambacho yeye anakilaani kwani vyombo vya habari vina kazi ya kuelimisha pia.
Wasanii wengi siku hawatoi nyimbo zenye ujumbe mzito kwa sababu promotion ya nyimbo kama hizo sio kubwa,yaani hazizunguki sana..mfano feruzi angetoa wimbo wake wa ‘starehe’ kipindi hiki asingepata air time kwa sababu tu mtu wa radio angeona kupiga wimbo ni kufanya tangazo la ukimwi kitu ambacho kinapotosha watu wengi” amefunguka Kala ambaye yuko mbioni kuachia wimbo wake mpya wiki ijayo

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kala Jeremiah adai radio nyingi zinabania kupiga nyimbo zenye ujumbe ndio maana wasanii wanaimba bata zaidi.
Kala Jeremiah adai radio nyingi zinabania kupiga nyimbo zenye ujumbe ndio maana wasanii wanaimba bata zaidi.
http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/kala.png?resize=589%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/kala-jeremiah-adai-radio-nyingi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/kala-jeremiah-adai-radio-nyingi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy