http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Nay wa Mitego kuwashitaki BASATA?,hiki ndicho alichosema baada ya wimbo wake ‘Pale kati’ kufungiwa.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuufungia wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati Patamu’ msanii huyo amedai safari hii hataon...

Roma Mkatoliki afungiwa kufanya muziki
Namuonea huruma Mama- Roma Mkatoliki
Kampuni Waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania(Lino International Agency) yatangaza kuachana rasmi na uandaaji wa shindano hilo
Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuufungia wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati Patamu’ msanii huyo amedai safari hii hataongea sana kwa sababu amelifikisha suala hilo kwenye mikono ya wanasheria.
Akiongea na Dullah kwenye kpindi cha Planet Bongo Nay amesema kuwa hatma ya wimbo huo upo mikononi mwa wanasheria wake ambao wanafuatilia haki zake kama msanii.
kuhusu hili suala kwa sasa mimi sina cha kuongea,nimewaachia wanasheria wangu,wao watajua nini cha kufanya kwa kuwa wakati huu tumefikia hatua ambayo sio nzuri, mpaka watu wananiuliza kama nina matatizo na BASATA,cha msingi kwa sasa nafuatilia sheria ili nijue haki zangu,kama ni sahihi au sio sahihi ndio maana nimewachia wanasheria” alisema Nay ambaye alilamika kuwa huo ni wimbo wake wa tatu kufungiwa na BASATA.
BASATA wameshaufungia wimbo lakini Nay wa Mitego ameenda kutafuta haki kupitia wanasheria wake ,Je kuna uwezekano wa msanii huyo kuwashitaki BASATA iwapo atajiridhisha kupitia wanasheria wake wake kuwa amefungiwa kimakosa?Tusubilie..

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Nay wa Mitego kuwashitaki BASATA?,hiki ndicho alichosema baada ya wimbo wake ‘Pale kati’ kufungiwa.
Nay wa Mitego kuwashitaki BASATA?,hiki ndicho alichosema baada ya wimbo wake ‘Pale kati’ kufungiwa.
http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/nay.png?resize=573%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/nay-wa-mitego-kuwashitaki-basatahiki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/nay-wa-mitego-kuwashitaki-basatahiki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy