http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Namuonea huruma Mama- Roma Mkatoliki


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapa Roma Mkatoliki ambaye mpaka sasa anatamba na wimbo wake 'Zimbabwe' amekuwa miongoni mwa watu walionesha hisia zao za kugus...

Hii hapa video mpya ya Jay Moe ‘Pesa Ya Madafu’ Itazame hapa.
Harmonize,wakati natoka niliahidi nikipata mwanamke mwenye vigezo nitamtangaza.
Hii video mpya ya Rich Mavoko akiwa chini ya WCB ‘Ibaki Story’ Itazame hapa
Rapa Roma Mkatoliki ambaye mpaka sasa anatamba na wimbo wake 'Zimbabwe' amekuwa miongoni mwa watu walionesha hisia zao za kuguswa na maisha wanayopitia wanawake katika nyanja zote na kudai anawaonea huruma sana japokuwa anawapenda kupita maelezo.
Roma amebainisha hayo kupitia ukurasa wake maalumu wa kijamii ikiwa kama ishara ya kuonesha mapenzi yake aliyokuwa nayo katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huwa inaadhimishwa kila ifikapo Marchi 8 ya kila mwaka ulimwenguni kote.
"Namuonea huruma mama anayezaa kwa mshono na hata anayesukuma huku daktari kaweka mgomo, wengi wanaishi kama watumwa au chombo cha starehe ya ngono. Je kipi kinawea kukuuma mwanaume 'buzi' aliyechunwa au kahaba aliyenyimwa mtonyo. Nawapenda sana dada zangu pamoja na wanawake wote", amesema Roma.
Kwa upande mwingine, Roma amewafumbua macho wanaume wenzake kwa namna moja ama nyingine kwa kuwaambia wawe makini na wanawake kutokana na wao kuwa chombe chenye thamani kubwa duniani na kuwataka wavitunze imara.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Namuonea huruma Mama- Roma Mkatoliki
Namuonea huruma Mama- Roma Mkatoliki
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/01/Roma.jpg?itok=wfVD03mC×tamp=1519890659
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/namuonea-huruma-mama-roma-mkatoliki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/namuonea-huruma-mama-roma-mkatoliki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy