Hii video mpya ya rapa mkongwe Tanzania Jay Moe ‘Pesa Ya Madafu’ ,Audio imetaayrishwa na Daz Naledge kwenye studio za Bongo Records St...
Hii video mpya ya rapa mkongwe Tanzania Jay Moe ‘Pesa Ya Madafu’ ,Audio imetaayrishwa na Daz Naledge kwenye studio za Bongo Records Studio na video imefanyika Port Elizabeth na Johannesburg South Africa ikiongozwa na director Travellah wa KWETU STUDIOS