http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Diamond apaswi kujiita simba – Darassa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Hit maker wa wimbo ‘Muziki’ Darassa ameweka wazi maana ya ule mstari wake wa “sio simba, sio chui, sio mamba” kwa kusema Diamond ha...

Nay wa Mitego kuwashitaki BASATA?,hiki ndicho alichosema baada ya wimbo wake ‘Pale kati’ kufungiwa.
Kala Jeremiah adai radio nyingi zinabania kupiga nyimbo zenye ujumbe ndio maana wasanii wanaimba bata zaidi.
Jux asema kuwa anafanya muziki kwenye mazingira magumu,sababu zake hizi hapa.


Hit maker wa wimbo ‘Muziki’ Darassa ameweka wazi maana ya ule mstari wake wa “sio simba, sio chui, sio mamba” kwa kusema Diamond hakupaswa kujiita simba kwani simba ni mnyama ambaye anaweza kuuliwa anapozidiwa nguvu.


Darasa amedai Diamond ni msanii ambaye amehangaika sana kutoka kimuziki hivyo mafanikio yake na uwezo wake wa muziki alitakiwa ajiite jina lingine kwa kuwa Daimondi ni zaidi ya Simba kwa sasa kwani ni zaidi ya mnyama Simba.


“Ningekuwa Diamond nisingejiita simba,” Darassa alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV. “Ninavyomuona Diamond ni zaidi ya Simba, kuna watu wanaua simba, simba, kajichanganya, kaingia kijijini kapotea, Diamond kwa kitu anachofanya ni zaidi ya simba, angeweza kujiita jina lingine lolote kubwa, kafanya vitu vingi sana,”


Pia rapper huyo alidai wanyama wote ambao amewataja katika wimbo wake hawaogopi kwa kuwa ana kitu kikubwa ndani yake na yeye ni mwanaume na anajiamini kwa muziki wake anaofanya.


“Kwa upande wangu nimesema siyo simba, siyo chui siyo mamba, mamba ni mnyama anayetisha sana kwenye maji, simba anatisha sana porini, chui ni hunter mzuri, so katika vitu vyote ambavyo viko humo, mimi humo kote simo, ninacho kitu ambacho kinaweza kunifanya nikwambie aaaaah”. Amemalizia Darassa

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Diamond apaswi kujiita simba – Darassa
Diamond apaswi kujiita simba – Darassa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidpIkrnwZeiqNTNn64yAS_CzatBzKGYlRgMJqjFnbDKlZQsggK7hrexTErq0LHKTIStRGK1KhRtebMlXSj4Llb11weL94y1WW0B49MTa3vM9K-btcZWz04gMjr1c363AP4lpsMBfOL6YZ6/s640/darassa_0.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidpIkrnwZeiqNTNn64yAS_CzatBzKGYlRgMJqjFnbDKlZQsggK7hrexTErq0LHKTIStRGK1KhRtebMlXSj4Llb11weL94y1WW0B49MTa3vM9K-btcZWz04gMjr1c363AP4lpsMBfOL6YZ6/s72-c/darassa_0.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/ningekuwa-diamond-nisingejiita-simba.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/ningekuwa-diamond-nisingejiita-simba.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy