http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Pam D adai wanaume wengi wanaogopa kuwa na mahusiano na wasanii wa kike,Kisa…


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa kike Pam D ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Nipe nono’ aliomshirikisha Nay wa Mitego amesema kuwa baadhi ya...

Video: Ngoma ya Harmonize ft Korede Bello ‘Shulala’
Diamond aanika ‘Cover’ ya Album yake
VIDEO Mwakyembe : Diamond na Ali Kiba Wagombane zaidi, Wasipatanishwe
Msanii wa kike Pam D ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Nipe nono’ aliomshirikisha Nay wa Mitego amesema kuwa baadhi ya wanaume wanaogopa kuwa na mahusiano ya kimapenzi wasanii wa kike wa bongo fleva.
Akiongea kwenye E newz PAM amedai kwamba watu wengi wanawachukulia wasanii wa kike kama watu wenye mambo mengi na wengine kuogopa kusalitiwa akijitolea mfano yeye kuwa anatamani kumpata mtu ambaye atakuwa serious,lakini mwanaume wengi wamekuwa wakiogopa.
Kwanza kuna baadhi ya wanaume unakuta wanatuogopa ujue, wanaona labda tunawadanganya,hawajiamini wenyewe” alisema Pam D na kuongeza angepata mwanaume aliye serious kama Nay wa Mitego angeshukuru sana.
Source: EATV

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Pam D adai wanaume wengi wanaogopa kuwa na mahusiano na wasanii wa kike,Kisa…
Pam D adai wanaume wengi wanaogopa kuwa na mahusiano na wasanii wa kike,Kisa…
http://i2.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/08/pam-d.png?resize=598%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/pam-d-adai-wanaume-wengi-wanaogopa-kuwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/pam-d-adai-wanaume-wengi-wanaogopa-kuwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy