http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Harmonize,wakati natoka niliahidi nikipata mwanamke mwenye vigezo nitamtangaza.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Wcb staa Harmonize alikuwa kwenye #FridayNiteLive na @sammisago hivi karibuni na kuongelea issue ya kukikisha sana mahusiano yake na Jac...

Rnb staa Jhene Aiko atengana na mume wake baada ya miezi 11 kwenye ndoa,Big Sean ametajwa kuhusika…
Jipya kuhusu Ile colabo ya Meek Mill na Drake ‘RICO’ iliyozua beef.
Dogo janja amefunguka kuhusu kumponda ex-girlfriend wa Nay wa Mitego kwenye wimbo wake mpya?fahamu zaidi..
Wcb staa Harmonize alikuwa kwenye #FridayNiteLive na @sammisago hivi karibuni na kuongelea issue ya kukikisha sana mahusiano yake na Jackline Wolper na kusema ni mwanamke aliye mpenda sana.
Harmonize anasema “Mwanamke mzuri kama Jackline sio wa kuficha na kukificha ni kama unahofia mtu mwingine asijue, Jack ananiweka powa,ananipunguzia mawazo ili nifanye nyimbo nzuri, niliahidi kwenye interview zangu wakati natoka kuwa nikipata mwanamke mwenye vigezo na nikaingia kwenye relationship lazima nitaweka wazi“.
Harmonize amekuwa kwenye stori nyingi za burudani kutokana na mahusiano yake na Jackline Wolper.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Harmonize,wakati natoka niliahidi nikipata mwanamke mwenye vigezo nitamtangaza.
Harmonize,wakati natoka niliahidi nikipata mwanamke mwenye vigezo nitamtangaza.
http://i2.wp.com/fahamutv.com/wp-content/uploads/2016/06/harmonize-2.jpg?resize=660%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/harmonizewakati-natoka-niliahidi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/harmonizewakati-natoka-niliahidi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy