http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Goodluck atekwa na Penzi la Queen Fifi


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa muziki wa injili ambaye pia ni fundi kwenye uandishi wa mistari mikali kwenye game ya bongo fleva, Goodluck Gozbert au Loly P...

DIAMOND PLATINUMZ,VANESSA MDEE NA NAVY KENZO WAMWAGIWA SIFA TENA
Alikiba atambulisha video ya pili
Irene Uwoya Ampa Onyo Kali Dogo Janja kuhusu Mpango wake wa kuoa wake Wanne



Msanii wa muziki wa injili ambaye pia ni fundi kwenye uandishi wa mistari mikali kwenye game ya bongo fleva, Goodluck Gozbert au Loly Pop, amefunguka juu ya hisia zake kwa rapper wa kike bongo ambaye pia ni mtangazaji wa East Africa Radio Queen Fifi.

Akipiga stori na Big Chawa wa East Africa Radio, Goodluck amesema anampenda sana binti huyo tangu alipomuona kwa mara ya kwanza kwenye mashindano ya kusaka vipaji bongo, na kushindwa kujizuia juu yake.

Goodluck anafahamika kwa kuimba nyimbo za muziki wa injili aliendelea kusema kuwa Frida ni msanii ambaye alikuwa anamuangalia sana na akavutiwa naye, na kipaji chake ni cha aina ya kipekee, na hajawahi kuwa 'bored' anapokuwa naye.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Goodluck atekwa na Penzi la Queen Fifi
Goodluck atekwa na Penzi la Queen Fifi
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/08/22/Goodluck%20Gozbert%20-%20Hao%20Hao.jpg?itok=SaVHALOh×tamp=1503405175
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/goodluck-atekwa-na-penzi-la-queen-fifi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/goodluck-atekwa-na-penzi-la-queen-fifi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy