http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

DIAMOND PLATINUMZ,VANESSA MDEE NA NAVY KENZO WAMWAGIWA SIFA TENA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa muziki Bongo, Damian Soul amelipongeza kundi la muziki la Navy Kenzo kwa kusema kuwa lilionyesha mwanga kwa wasanii wakubwa ku...

SERIKALI YARUHUSU WIMBO WA CHURA WA MSANII SNURA KUPIGWA
WASHIRIKI 10 WAINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA GOSPEL STAR SEARCH 2016 JIJINI DAR
Ray C aonyesha muonekano wake mpya.........Mashabiki Wampa Ushauri Mzito
Msanii wa muziki Bongo, Damian Soul amelipongeza kundi la muziki la Navy Kenzo kwa kusema kuwa lilionyesha mwanga kwa wasanii wakubwa kuanza kutoa albamu. Muimbaji huyo ambaye anafaya vizuri na ngoma ‘Data’ amesema wasanii walio mainstream waliacha kutoa albamu kwa kipindi fulani lakini baada ya Navy Kenzo kutoa na wengine wakafuata.
Nadhani muamko ulioletwa na kama Navy Kenzo kwa sababu wao ndio waliotutoa kimasomaso kujaribu kwamba i want to do this kwa hiyo ilileta muamko kwa sababu wapo kwenye sportlight,” Damian ameiambiaBongo5. “So we thanks God for Vanessa, Navy Kenzo lakini tunashukuru kwa Wakazi pia kwa Diamond as well wamekuwa mfano na sisi wengine tutafuata kwa sababu tunataka industry yetu iwe pale juu,” amesisitiza.
Hata hivyo ameongeza kuwa si kwamba wasanii walikuwa hawatoi albamu kabisa ila kuna ambao walitoa lakini hawakupewa kipaumbele kama wanachopewa wanaotoa sasa huku akimtolea mfano One The Incredible kama miongoni mwa wasanii hao.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : DIAMOND PLATINUMZ,VANESSA MDEE NA NAVY KENZO WAMWAGIWA SIFA TENA
DIAMOND PLATINUMZ,VANESSA MDEE NA NAVY KENZO WAMWAGIWA SIFA TENA
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/dAMINA-bONGO5-600x381.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/diamond-platinumzvanessa-mdee-na-navy.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/diamond-platinumzvanessa-mdee-na-navy.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy