http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Ili kujiunga Vevo nilihakikisha nalipwa kama wasanii wa Marekani – Diamond


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Diamond Platnumz ameeleza sababu iliyomfanya hatimaye kufungua akaunti ya Vevo baada ya kuikataa kwa muda. Wimbo wake, Marry You alimshiri...

Pam D adai wanaume wengi wanaogopa kuwa na mahusiano na wasanii wa kike,Kisa…
Hii video mpya ya Rihanna ‘Goodnight Gotham’ Enjoy
Madhara ya Kufanya Mapenzi au Tendo la Ndoa Mara Nyingi Kupita Kiasi



Diamond Platnumz ameeleza sababu iliyomfanya hatimaye kufungua akaunti ya Vevo baada ya kuikataa kwa muda. Wimbo wake, Marry You alimshirikisha Ne-Yo ni wa kwanza kuwekwa kwenye akaunti hiyo, na sasa ina views zaidi ya milioni 4. 


Kupitia Instagram, staa huyo amedai kuwa alikubali kujiunga na Vevo baada ya kujiridhisha kuwa atakuwa akipata treatment ile ile wanayopata wasanii wa Marekani;

Ameandika:


Kuna siku niliulizwa kwanini we haupo Vevo… Nikawambia: “uwepo wa msanii @VEVO anatakiwa msanii alipwe zaidi ya alivyokuwa analipwa kwenye Youtube channel ya kawaida.. Vevo wenyewe pia wamtambue kuwa kuna msanii anaitwa Nasibu Abdul aka Diamond toka Tandale, na pia anacholipwa msanii wa Marekani kwa view moja ama tangazo lolote liekwalo mwanzo ama lipitalo katikati pindi ya utazamaji wa video hyo basi nae anapaswa kulipwa hivyohivyo…na mbali tu ya kumlipa VEVO yapaswa kwa namna moja au nyingine kusaidia kupromote maana ni biashara yao wote na kila msanii ana shabiki zake na ukubwa na nafasi yake atokapo”…..hivyo nikawambia: “siku mkiniona nipo vevo basi jua nimeyakamilisha haya, vinginevyo wacha niendee kuokota senti mbili tatu, kwenye chanel yangu ya Youtube kawaida….

SABABU YA KUYASEMA HAYA:
Ni kutaka kuwafahamisha ama kuwaamsha baadhi ya wasanii wenzangu watambue kuwa Mziki wetu hata kama hauko mkubwa saaaana ulimwenguni, ila Mwenyez Mungu kausaidia kuufikisha sehem flani, hivo wasanii lazma tujitambue na Tuwe na Misimamo na kazi zetu, vilevike umakini kwenye maamuzi ama hatua yoyote tutayoichkua juu ya sanaa zetu kwa sasa, maana tuliamualo leo linaweza kutujenga ama kutubomoa baadae… nafaham wasanii wengi hawakuwa wakilifaham hilo na badala yake kuingia @VEVO kupitia watu kati ama madalali na kuambulia status mtaani kuwa wako @VEVO ilhali nyuma kuna watu wanawadhurumu mamilioni ya pesa zitokanazo na jasho lao…” kwa uchungu wa kufaham namna gani inauma msanii ukinyonywa kazi yake ndio umenifanya nilizungumze hili leo, ila ukiona kwa namna moja au nyingine nimekosea Tafadhali mnisameh…

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ili kujiunga Vevo nilihakikisha nalipwa kama wasanii wa Marekani – Diamond
Ili kujiunga Vevo nilihakikisha nalipwa kama wasanii wa Marekani – Diamond
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2017/02/16790358_767635083384303_8377346694534135808_n.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/ili-kujiunga-vevo-nilihakikisha-nalipwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/ili-kujiunga-vevo-nilihakikisha-nalipwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy