http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Tamasha la ‘Komaa Concert’ Laweka Historia jijini Mwanza


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa RnB, Ben Pol akifanya yake stejini katika Tamasha la Komaa Concert limefanyika jana jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba. M...

Macklemore yule rapa aliyeimba wimbo wa kutetea ushoga anapicha ya Justin Bieber akiwa mtupu kwenye studio yake.
Hii hapa video mpya ya Jay Moe ‘Pesa Ya Madafu’ Itazame hapa.
Harmonize,wakati natoka niliahidi nikipata mwanamke mwenye vigezo nitamtangaza.




Msanii wa RnB, Ben Pol akifanya yake stejini katika Tamasha la Komaa Concert limefanyika jana jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba.


Mashabiki wa EFM wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Ben Pol (hayupo pichani).


Chemical akiwa live kwenye steji.


Mashabiki wakiendelea na shangwe.


Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanya yake.


MCs wa tamasha hilo la komaa wakiwa stejini, kulia ni mtangazaji wa kipindi cha Genge TZA au Fido pamoja na Snalisious.


Tamasha la Komaa concert limenyika katika Mkoa wa Mwanza jana katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuanzia saa 4:00 Asubuhi mpaka jioni, tamasha hilo linatarajiwa pia kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe 15/7/2017 katika Uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe.
Tamasha hili ni la burudani pamoja na uwezeshaji ambapo zaidi ya wasanii kumi na moja watatumbuiza katika jukwaa moja akiwemo Darasa, Rich mavoko, Ben pol, Ney wa Mitego, Manfongo, Msaga Sumu, Chemical, na wengineo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Tamasha la ‘Komaa Concert’ Laweka Historia jijini Mwanza
Tamasha la ‘Komaa Concert’ Laweka Historia jijini Mwanza
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/5-3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/tamasha-la-komaa-concert-laweka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/tamasha-la-komaa-concert-laweka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy