http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MSONDO NGOMA FAMILY DAY KUFANYIKA LEKHAM HOTEL BUGURUNI


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Wanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma Shaban Dede kulia na Hassan Moshi wakiimba jukwaani katika moja ya maonesho ya bendi hiyo jijini Dar es ...

Video mpya ya Gucci Mane ‘No Sleep (Intro)’ Itazame hapa.
Drake karudi kwenye nafasi ya kwanza kwenye chati za billboard.
Edu boy adai kutapeliwa pesa na director Hanscana,ilikuaje?soma zaidi hapa..




Wanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma Shaban Dede kulia na Hassan Moshi wakiimba jukwaani katika moja ya maonesho ya bendi hiyo jijini Dar es salaam.



Katibu wa kamati ya maandalizi ya Maonyesho hayo ya kila mwezi Bw.Abdulfareed Hussein

…………………………………………………………………………..

Bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini,MSONDO NGOMA MUSIC BAND(BABA YA MUZIKI),inakuletea onyesho lao kubwa la kila mwezi maalum kwa wanafamilia wa Msondo Ngoma na wadau wa muziki wa dansi maarufu kwa jina la MSONDO NGOMA FAMILY DAY,ambalo kwa mwezi huu litafanyika wilaya ya Ilala katika ukumbi wa Lekham Hotel,Buguruni.

Akiongea na fullshangwe blog,Seneta wa Bendi hiyo ambaye pia ni katibu wa kamati ya maandalizi ya Maonyesho hayo ya kila mwezi Bw.Abdulfareed Hussein,ameeleza kwamba baada ya mafanikio makubwa katika maonyesho yalopita,sasa burudani itaangushwa Lekham Hotel,ikiwa na kauli mbiu ya CHANGIA BENDI YAKO,CHANGIA BIMA YA AFYA KWA WANAMUZIKI WETU.

Katibu huyo pia amefafanua kwamba onyesho la mwezi huu litakuwa maalum la kuchangia upatikanaji wa bima ya afya kwa wanamuziki wa Msondo ngoma.

Bendi hiyo imedhamiria kuja na mipango mbalimbali katika kuendeleza muziki wa dansi na kadri siku zinavyokwenda ndivyo mikakati mbalimbali itakavyotekelezwa.

Katika onesho hilo pia kutakuwa na zawadi kwa mtu atakayecheza vizuri mtindo wa msondo ngoma , atakayeimba vizuri nyimbo ya mashindano ya Msondo Ngoma na atakayependeza zadi katika siku hiyo.

Kiingilio katika onyesho hilo kitakuwa ni 10,000,japo wadau wanaruhusiwa kuchangia zaidi ya bei hiyo na kwa mawasiliano ya uchangiaji wa awali unaweza kumpata na kukupa maekekezo kupitia namba ya simu 0653909050.

CHANGIA MSONDO NGOMA,CHANGIA BIMA YA AFYA KWA WANAMUZIKI WETU.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MSONDO NGOMA FAMILY DAY KUFANYIKA LEKHAM HOTEL BUGURUNI
MSONDO NGOMA FAMILY DAY KUFANYIKA LEKHAM HOTEL BUGURUNI
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/10/mson1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/msondo-ngoma-family-day-kufanyika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/msondo-ngoma-family-day-kufanyika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy