Msanii wa bongo fleva Edu boy ambaye anatamba na wimbo wake wa Dumange amedai kwam...
Edu ambaye hakutaja kiasi cha pesa alichotapeliwa alidai kuwa alimlipa Hanscana ili amfanyie video ya wimbo wake lakini amekuwa akizungushwa mara kwa mara na director huyo hkwa muda mrefu sasa.
“makubaliano yetu mimi na Hanscana ilikuwa ni ku shoot video tokea mwaka jana mwezi wa 12,nikamlipa pesa kama tuliyokubaliana,hata kama ni ndogo anapaswa kuihesimu kwani ndivyo tulivyokubaliana..baadaye akaanza kunizungusha mpaka nikatoa wimbo mwingine ambao nilihisi ni mzuri zaidi ya ule,nilivyomwambia akasema huo(mpya) ndio ameupenda zaidi na akakubali ku shoot,lakini kila ikifika siku moja kabla ya ku shoot video hapatiakani kuanzia mwezi wa kwanza hadi wa tatu” alisema Edu Boy akihojiwa
na Dullah kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa radio.
Source:EA Radio