Hii video mpya ya Elani na Jaguar ‘Sirudi’, ni wimbo unaohusu mapenzi na makosa wanayofanya wanaume mpaka kupelekea mwanamke kuondoka ny...
Hii video mpya ya Elani na Jaguar ‘Sirudi’, ni wimbo unaohusu mapenzi na makosa wanayofanya wanaume mpaka kupelekea mwanamke kuondoka nyumbani.
Video pia inahusu unyanyasaji wanaopata wakina mama wanapokuwa ndani ya ndoa.