http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Darleen aweka wazi mahusiano yake na Alikiba


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa bongo fleva Queen Darleen amefunguka na kusema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na msanii Alikiba kama ambavyo watu wanazungumza na...

Irene Uwoya Ampa Onyo Kali Dogo Janja kuhusu Mpango wake wa kuoa wake Wanne
“Sina Mahusiano Ya Kimapenzi na Nandy”- Aslay
Uwoya Ashindwa kumridhisha Dogo Janja ,Atangaza kuoa mke wa Pili

Msanii wa bongo fleva Queen Darleen amefunguka na kusema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na msanii Alikiba kama ambavyo watu wanazungumza na kusema ameshaambiwa anatoka kimapenzi na watu kibao akiwepo hata Platnumz ambaye ni ndugu yake.




Queen Darleen (Kushoto) , Alikiba (Kulia)

Akiongea kwenye kipindi cha eNewz cha EATV, Queen Darleen amesema mara nyingi watu wakiona anakuwa karibu na mtu fulani huwa wanahisi kuwa ni mtu wake na hiyo ni kutokana na ukweli kwamba watu hawamjui mtu wake.

"Alikiba siyo bwana wangu na wala hajawahi kuwa bwana wangu, ila Alikiba alikuwa mshikaji wangu na zaidi ya mshikaji wangu, yaani ni ndugu kabisaa, hivyo watu waliweza kuona natoka naye kwa kuwa nilikuwa karibu naye, nazunguka naye mara kwa mara karibu sehemu zote, hivyo watu wakawa wanajua hivyo na hiyo ni kutokana na ukweli kwamba watu walikuwa hawamjui bwana wangu." alisema Queen Darleen

Msanii huyo alizidi kufafanua na kusema kama kweli angekuwa anatoka kimapenzi na Alikiba kipindi hicho basi hata mtoto wake angekuwa ni mtoto wa Alikiba lakini si mtoto wake kwa kuwa hawakuwa wapenzi.
Darleen na Diamond

 "Kipindi kile nazurula sana na Alikiba mimi nilikuwa tayari mjamzito, na nisha jifungua na mtoto kwa mantiki hiyo kama Alikiba angekuwa bwana wangu basi yule mtoto angekuwa wa Alikiba, lakini mimi nilikuwa na mwanaume wangu kipindi hicho ambaye ni Hamisi Dakota hivyo watu wanaotujua sisi walikuwa wanajua jinsi gani tunavyoishi, Mimi nilishaambiwa hata Dully Skyes bwana wangu wakati yule ni kaka yangu, ikaenda wakati Nassibu anaanza kutoka nilikuwa naye karibu katika kumsaidia kazi zake watu wakasema kuwa bwana wangu" aliongeza Queen Darleen

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Darleen aweka wazi mahusiano yake na Alikiba
Darleen aweka wazi mahusiano yake na Alikiba
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/01/26/Darleen%20na%20Alikiba.jpg?itok=WUzOQKXr×tamp=1485426513
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/darleen-aweka-wazi-mahusiano-yake-na.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/darleen-aweka-wazi-mahusiano-yake-na.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy