http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Uwoya Ashindwa kumridhisha Dogo Janja ,Atangaza kuoa mke wa Pili


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janja amefunguka mipango yake ya kuoa mke wa pili. Dogo Janja ambaye alimuoa Irene Uwoya mwaka jana ameiambia...

Roma afafanua mstari huu, “Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top”,alichomaanisha hiki hapa..
Shaa adai alirudia video ya Sawa,baada ya Chura ya Snura kufungiwa.
Producer wa Aiyola ya Harmonize,afunguka kwanini hayupo chini ya WCB.


Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janja amefunguka mipango yake ya kuoa mke wa pili.

Dogo Janja ambaye alimuoa Irene Uwoya mwaka jana ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa kuoa mke wa pili hadi wa nne ni moja ya mipango yake na atafanya hivyo kila baada ya miaka 10.

“Inshallah kuongeza wa pili, wa tatu, wa nane hapo ukishakaa vizuri kiuchumi na mwenzako aweze ameridhia,” amesema.

“Hata wanne sio mbaya hapo tunaongelea Mwenyenzi Mugu akitujalia uhai labda baada ya miaka 10 naweza kuongeza wa pili, ikifika miaka 10 tena naongeza, yaani nikifika miaka 50 pale niwe nimekamilisha wanne,” ameongeza.

Dogo Janja na Irene Uwoya waliripotiwa kufunga ndoa November 25, 2017, hata hivyo ni vigumu kutaja tarehe kamili kutokana na namna walivyoliweka suala hilo hasa kwa upande wa vyombo vya habari na mitandao.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Uwoya Ashindwa kumridhisha Dogo Janja ,Atangaza kuoa mke wa Pili
Uwoya Ashindwa kumridhisha Dogo Janja ,Atangaza kuoa mke wa Pili
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEMbYuUywtkSET6HzEdQkFtuMTEvF16YlvzbUv4QBNYebY5zrf_c_yDgx6pFdtLk98Cb0uPVKqq3ttvRa9saPunZoeJBIHUoD8Ghy12rxVc6ahbI_jRonaXFXb1t3mdxsTc4qABTtjJqw/s640/JANJA-NA-UWOYA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEMbYuUywtkSET6HzEdQkFtuMTEvF16YlvzbUv4QBNYebY5zrf_c_yDgx6pFdtLk98Cb0uPVKqq3ttvRa9saPunZoeJBIHUoD8Ghy12rxVc6ahbI_jRonaXFXb1t3mdxsTc4qABTtjJqw/s72-c/JANJA-NA-UWOYA.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/uwoya-ashindwa-kumridhisha-dogo-janja.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/uwoya-ashindwa-kumridhisha-dogo-janja.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy