http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Roma afafanua mstari huu, “Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top”,alichomaanisha hiki hapa..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

“Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top” kutoka kwa Roma ni moja kati ya mistari inayozungumziwa sana kwa sasa huku ikidaiwa kuwa Roma...

Drake karudi kwenye nafasi ya kwanza kwenye chati za billboard.
Edu boy adai kutapeliwa pesa na director Hanscana,ilikuaje?soma zaidi hapa..
Baraka da Prince ametaja mafanikio aliyoyapata toka asaini mkataba na Rock Star 4000,yasome hapa..
“Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top” kutoka kwa Roma ni moja kati ya mistari inayozungumziwa sana kwa sasa huku ikidaiwa kuwa Roma amemponda Babu Tale ambaye ni mmoja wa mameneja wa Diamond na meneja wa Tip Top pia kwenye wimbo wake wa kaa tayari.
Kwa upande wake Roma amesema kuwa hakumaanisha kumponda meneja huyo kama watu wengi wanavyodhani bali alitaka kufikisha ujumbe kuwa watu wasisahau walipotoka lakini kwa njia ya kisanii zaidi.
Tafsiri ya mstari huo ni kwamba tusisahau tulipotoka,ningeweza tu kuandika hivyo lakini kama msanii inabidi niwe mbunifu,ndio nikajenga hiyo picha na ndiyo maana watu wameukumbuka zaidi” alifafanua Roma alipokuwa akihojiwa na HZB TV

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Roma afafanua mstari huu, “Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top”,alichomaanisha hiki hapa..
Roma afafanua mstari huu, “Boss amemganda Dangote,ameisahau Tip Top”,alichomaanisha hiki hapa..
http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/roma.png?resize=479%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/roma-afafanua-mstari-huu-boss-amemganda.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/roma-afafanua-mstari-huu-boss-amemganda.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy