http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Hivi ndivyo Chidi Benz alivyo fafanua kauli yake ya kusema hakuna rapa wa Bongo aliyefikia mafanikio yake


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

 Rapa Rashid ‘Chidi Benz’ Makwilo, amefunguka na kusema kuwa alikuwa akimaanisha kauli yake kuwa kuna marapa Bongo ambao wametengenezwa. ...

Video Mpya : Diamond Platnumz f/ Ne-Yo – Marry You
Umeisikia Hii ya Vanessa Mdee,Afunguka Siri ya Mafanikio Yake..!!!
Darleen aweka wazi mahusiano yake na Alikiba
 Rapa Rashid ‘Chidi Benz’ Makwilo, amefunguka na kusema kuwa alikuwa akimaanisha kauli yake kuwa kuna marapa Bongo ambao wametengenezwa. “Mimi kusema kuna marapa wametengenezwa sio kosa, tuseme ukweli mimi unanifananisha na nani?, tuachane na mambo niliyopitia sijui nini tuseme tu mimi unanifananisha na nani katika kuchana?, “ Alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times Fm jumamosi iliyopita.
Mkali huyo anayetamba na wimbo wake ‘Chuma’, ameeleza kuwa anawaheshimu marapa waliomtangulia kwenye ‘Game’ lakini hakuna aliyefikia alichofanya kwenye ulimwengu wa Hip Hop Tanzania. “Unaongelea kuchana au unaongelea maisha? Ya kwenye maisha tupo tofauti kuna marapa wengine hawajawahi vuta Sigar au kunywa Pombe, lakini unaongelea kuchana, Mimi mwenye tuzo tano ambazo hakuna rapa mwenye nazo Bongo, hakuna anayechana anazo mi ninazo 5, mwenye nazo ana 1 ama mbili. “Unataka kuniambia kuna rapa kafanya kolabo kama mimi?, kuna mtu karekodi kolabo zangu zimefika 392, nilishafanya kolabo na aina kibao za wasanii, muite rapa wako msimamishe hapa muulize unasemaje kuchana kati yakow ewe na Mjomba, kweli wametengenezwa” Alisema.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Hivi ndivyo Chidi Benz alivyo fafanua kauli yake ya kusema hakuna rapa wa Bongo aliyefikia mafanikio yake
Hivi ndivyo Chidi Benz alivyo fafanua kauli yake ya kusema hakuna rapa wa Bongo aliyefikia mafanikio yake
http://tubongetz.com/wp-content/uploads/2016/07/Chidi-Benz.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/hivi-ndivyo-chidi-benz-alivyo-fafanua.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/hivi-ndivyo-chidi-benz-alivyo-fafanua.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy