http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Stereo ataja mambo yanayowaponza wasanii wa hip hop,soma hapa kuyafahamu..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa hip hop Tanzania,Stereo amedai kuwa wanamuziki wengi wa hip hip hawakubaliki kwenye jamii kutokana na mionekano yao na kutokuw...

Professor J kufunga ndoa na mama watoto wake
Yule rapa aliyekuwa analala barabarani na kwenye majalala amepewa lebo na Rick Ross.
Nay Wa Mitego Afungiwa na BASATA....... Atozwa Faini Ya Tsh. Milioni 1
Msanii wa hip hop Tanzania,Stereo amedai kuwa wanamuziki wengi wa hip hip hawakubaliki kwenye jamii kutokana na mionekano yao na kutokuwa na nidhamu katika kazi.
Akiongea kwenye kipindi cha Ladha 360 cha EFM ,msanii huyo amedai matumizi ya lugha za kihuni na matusi kwenye nyimbo zao kunafanya watu wenye staha kutosikiliza muziki huo.
Mimi nawashangaa wasanii wengi wa hip hop ,kwani mpaka utukane ndio uonekane unachana sana?!..jinsi tunavyoonekana pia ,utakuta mahereni ,micheni,mabuti makubwa ,vitu kama hivyo vinawatisha wazazi, hata mama yangu aliwahi kuhoji vitu kama hivyo.Wasanii wengi hawajui waseme nini ili watu fulani wenye akili zao wawasikilize,washua hawawezi kukusilikiza kama unachana matusi” alifunguka Stereo ambaye aliwataka wasanii wa hip hop kuwekeza kwenye mionekano ambayo ina tija kwenye jamii.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Stereo ataja mambo yanayowaponza wasanii wa hip hop,soma hapa kuyafahamu..
Stereo ataja mambo yanayowaponza wasanii wa hip hop,soma hapa kuyafahamu..
http://i0.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/stereo.png?resize=471%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/stereo-ataja-mambo-yanayowaponza.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/stereo-ataja-mambo-yanayowaponza.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy