http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Professor J kufunga ndoa na mama watoto wake


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Professor J akiwa na Mama Lisa Mchawi wa Rhymes na mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’ amesema hivi karibuni atafunga ndoa n...

Ray J ametoa maelezo juu ya tuhuma zinazomkabili za kumtongoza mtoto wa rais Barack Obama kwenye Dm ya IG.
Hii video mpya ya Snoop Dogg Ft Lil Duval ‘Kill ‘Em wit the Shoulders’ Enjoy
Rnb staa Jhene Aiko atengana na mume wake baada ya miezi 11 kwenye ndoa,Big Sean ametajwa kuhusika…
Mchawi wa Rhymes na mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’ amesema hivi karibuni atafunga ndoa na Mama watoto wake ‘Mama Lisa’ ambaye tayari ameshadumu naye kwenye mahusiano kwa muda mrefu.
10616801_739013806157461_1892671967_n
Rapper huyo ambaye hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ akiwa ameshirikisha Sholo Mwamba, amekiambia kipindi cha FNL cha East Africa Television Ijumaa hii kuwa yupo kwenye maandalizi ya kufunga ndoa.
“Very soon naingia kwenye maisha ndoa,” alisema Professor. “Wakati naingia kwenye majukumu mapya haya hata mke wangu aliniruhusu hebu tumikia wananchi alafu baadae kila kitu kitakuwa sawa, very soon, very soon jiandaeni na kadi zangu,”
Pia rapper huyo amesema yeye haamini kama kuoa kunaweza kumsababishia msanii wa muziki kushuka na kupoteza baadhi ya mashabiki

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Professor J kufunga ndoa na mama watoto wake
Professor J kufunga ndoa na mama watoto wake
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/07/x10616801_739013806157461_1892671967_n.jpg.pagespeed.ic.eVRMwxmybH.webp
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/professor-j-kufunga-ndoa-na-mama-watoto.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/professor-j-kufunga-ndoa-na-mama-watoto.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy