Rnb staa Ray J ametoa maelezo juu ya tuhuma zinazomkabili za kumtongoza mtoto wa rais Barack Obama kwenye Dm ya IG. Staa wa muziki kutoka...
Rnb staa Ray J ametoa maelezo juu ya tuhuma zinazomkabili za kumtongoza mtoto wa rais Barack Obama kwenye Dm ya IG.
Staa wa muziki kutoka Marekani Ray J amefunguka juu ya tetesi kuwa amemtongoza mtoto wa rais Barack Obama ‘Malia Obama‘.
Ray J ameweka video online akisema “Sijapenda kinachoongelewa kuhusu mimi,niko nyumbani na familia yangu nasikia eti nimemtafuta mtoto wa Obama kwenye Dm yake, kwanini kila siku mnataka kunishusha, niko positive sana kwenye maish yangu, nategeme kufunga ndoa ijumaa hii sina time na mambo hayo“.
Msemaji wa Ray J naye alisema Ray anategemea kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Princess Love