Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amafanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja na kuwabadilisha ...
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
amafanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza
Wizara moja na kuwabadilisha Mawaziri kadhaa
-
Baraza hilo litakuwa na Mawaziri 14 na Naibu Waziri 12 na Mawaziri wawili wasio na Wizara maalumu kutoka Upinzani
-
Katika Mabadiliko hayo, Shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; Shughuli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
-
Aidha, shughuli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara Mpya ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale.