http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Audio: Shilole Ageuka Mbogo Hewani Alipoulizwa Maswali ya Jike Shupa na Nuh Mziwanda


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mtangazaji wa Kings FM, Divine Kweka alijikuta akitamani akate simu na aingie chini ya uvungu baada ya maswali yake kumpanik...

Davido ameimba Kiswahili kwa wingi kwenye kolabo yake na Joh Makini,Joh Makini amefunguka..
Timbulo alikuwa anafanya kazi hii kabla ya kuanza muziki..soma hapa kuijua.
Stereo ataja mambo yanayowaponza wasanii wa hip hop,soma hapa kuyafahamu..


Mtangazaji wa Kings FM, Divine Kweka alijikuta akitamani akate simu na aingie chini ya uvungu baada ya maswali yake kumpanikisha Shilole.

Mtangazaji huyo alianza vizuri mahojiano yao kwa kumuuliza kuhusu wimbo wake na Barnaba ‘Say My Name’ kabla ya mambo kugeuka alipomuuliza kuhusu Nuh Mziwanda na model wa Jike Shupa, Zuu.

“Siwezi kuzungumzia hiyo kitu sababu hainihusu,” alijibu Shishi baada ya kuulizwa anachukuliaje makavu anayopewa na ex wake.

“Sihitaji kuongelea hivyo vitu, niulize kuhusiana na muziki wangu, mambo yangu yanavyoenda, usiniulizie vitu vya watu ambao siwajui mimi,” alifoka muimbaji huyo.

Kwa upande mwingine Shilole amedai kuwa anakuja na ngoma aliyoipa jina ‘Hatutoi Kiki.’

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Audio: Shilole Ageuka Mbogo Hewani Alipoulizwa Maswali ya Jike Shupa na Nuh Mziwanda
Audio: Shilole Ageuka Mbogo Hewani Alipoulizwa Maswali ya Jike Shupa na Nuh Mziwanda
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPKwJrn-JEoUmqQ6vSF-vZiqmN1jKMDqVUM4D3yZWC22xsdFygFk0tJOIb48BxaTh9_alr1ox1w-pdZHgfswgtvotp_rz-zpIJZuf_rOBe84KeUJvVdOyyDUhoxcvD4CHna_XMyr8FGt8/s1600/Shilole-2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPKwJrn-JEoUmqQ6vSF-vZiqmN1jKMDqVUM4D3yZWC22xsdFygFk0tJOIb48BxaTh9_alr1ox1w-pdZHgfswgtvotp_rz-zpIJZuf_rOBe84KeUJvVdOyyDUhoxcvD4CHna_XMyr8FGt8/s72-c/Shilole-2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/audio-shilole-ageuka-mbogo-hewani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/audio-shilole-ageuka-mbogo-hewani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy