Aliyekuwa meneja wa Ommy Dimopz wa Muda mrefu kupitia lebo ya PKP Mubenga ametangaza rasmi kujitoa kama meneja kwenye lebo hio na kufung...
Aliyekuwa meneja wa Ommy Dimopz wa Muda mrefu kupitia lebo ya PKP Mubenga ametangaza rasmi kujitoa kama meneja kwenye lebo hio na kufungua lebo yake ya Bangerz Entertainment.
Mubenga akiongea na E News anasema “Mimi NILIKUWA nafanya kazi na kuchukua asilimia flani tu Pkp ila kwa sasa nina movement yangu kwenye kazi zangu hizi hizi, bado hatujaanza kuachia kazi ila tutatangaza soon” Mubenga amekuwa meneja wa kazi za sanaa za msanii Ommy Dimpoz na Nedy Music kwa muda mrefu.
Video,Mubenga atangaza rasmi kujitoa PKP ya Ommy Dimpoz na kuanzisha lebo yake ya BANGERZ.