http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Darassa adai harakati za muziki zinampa wakati mgumu kwa watu wake wa karibu,fahamu zaidi hapa..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapper Darassa ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Too Much amedai kwamba harakati zake za muziki zinampa wakati mgumu sana hasa k...

ZariTheBossLady Amtaja Ivan kwenye Post Moja na Diamond Platnumz
Beef ya Joe Budden na Drake inaendelea, P Diddy naye kavutwa humo.
Macklemore yule rapa aliyeimba wimbo wa kutetea ushoga anapicha ya Justin Bieber akiwa mtupu kwenye studio yake.
Rapper Darassa ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Too Much amedai kwamba harakati zake za muziki zinampa wakati mgumu sana hasa kwa watu wake wa karibu kutokana na ratiba ngumu aliyo nayo hivyo kutokuwa nao karibu mara kwa mara.
Akihojiwa kwenye kipindi cha Ladha 3600 cha EFM,Darassa amedai kuwa ndoto zake za kimuziki zimemfanya awe anafanya kazi muda mwingi zaidi hivyo kukosa muda wa kukaa na watu watu wake wa karibu kama ilivyokuwa zamani.
..sasa hivi nimekuwa na wakati mgumu hata na baby,wakati mgumu na ndugu zangu pamoja na washikaji, hatuonani mara nyingi sana..hatupigi sana stori kwa sababu kuna goli nalihangaikia,so once nikiwa poa itakuwa ni rahisi kufanya vitu vingine,ila kuna vitu nahitaji kufanya kwa sasa” alifunguka Darassa na kuwataka mashabiki zake wategemee ngoma kali zaidi kutoka kwake.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Darassa adai harakati za muziki zinampa wakati mgumu kwa watu wake wa karibu,fahamu zaidi hapa..
Darassa adai harakati za muziki zinampa wakati mgumu kwa watu wake wa karibu,fahamu zaidi hapa..
http://i0.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/08/darasaa.jpg?resize=640%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/darassa-adai-harakati-za-muziki-zinampa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/darassa-adai-harakati-za-muziki-zinampa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy