Mwanamuziki Mkali wa masauti anayefanya vizuri Tanzania Christian Bella amesema ye...
Bella ameweka wazi kuwa kwa sasa anaenda na mwana hip hop huyo kwa kuwa ndiye aliyeandika script ya video hiyo na kuongeza kuwa yeye na Fid Q wameshafanya kolabo tayari ambapo yeye (Bella) ameimba kiitikio kwenye wimbo wa Fid Q.
“Natarajia kwenda Afrika Kusini ku shoot video ya wimbo wangu mpya unaitwa nishike..naenda na Bwana Farid kwa sababu yeye ndiye mchora script,jamaa ana ujuzi sana na idea kwenye mambo ya script.Pia tuna ngoma ya mimi na Fid,kanishirikisha chorus” alifunguka Bella ambaye alidai aligundua Fid Q ni mkali kwenye script alipokutana naye Sweden.
Source:AyoTv