Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametuonjesha kidogo ujio wa Remix yake ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma ‘All The Way Up‘ Ft French ...
Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametuonjesha kidogo ujio wa Remix yake ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma ‘All The Way Up‘ Ft French Montana.
Kwenye instagram yake Diamond kaandika huu ujumbe pamoja na hichi kionjo “ You know i Love being crazy Sometimes ???????????? #FoolingAround #AllTheWayUp #JINI #SIMBA #VAMPIRE Mendez tell those Mother*** ka! ”
Isikilize Hapa.