Rapa The Game amejitamba kuwa amelala na dada watatu wa Kim Kardashian ila mpaka sasa hajawataja kwa majina. Kupitia wimbo wake mpya wa “...
Rapa The Game amejitamba kuwa amelala na dada watatu wa Kim Kardashian ila mpaka sasa hajawataja kwa majina. Kupitia wimbo wake mpya wa “Sauce,” The Game anasema amelala na Kardashians watatu .
Kwenye mtari huu The Game anasema “I used to f*** bhes that Usher Raymond passed off / Then I fed three Kardashians – hold that thought.”
Kwenye wimbo huu “Sauce” into iliyotumika ni ya Dj Khaled na mwisho wa wimbo anasema “I got 99 problems, but the sauce ain’t one.” Game yupo studio akifanya album yake ya 1992,